plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Wewe upo mkoa gani?Habari zenu ndugu zangu wa jf poleni na majukumu ya hapa na pale.. Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu mifumo yote ya bomba katika nyumba ikiwemo mifumo ya maji safi na maji taka drainage system ufungaji wa maji moto vifaa gani ni bora na unapo pata tatizo nini ufanye hili ulitatue tatizo vitu gani uzingatie pindi unapo taka kuweka fitting za usafi choo,beseni,kitchen sink n.k.Pia kama utakuwa na swali lolote linalo husu bomba uliza utajibiwa pia ukiitaji fundi mahili na mwaminifu na kwa bei nafuu kwa kazi bora na ya kudumu pia utapata..
Nipo Dar tank kulipandisha juu na kulifanyia installation nafanyia kwa laki na nusuWewe upo mkoa gani?
Kuniwekea tank la maji la Lita 2000 juu ni bei gani?
Ok mkuu next time nita fanya hivyoKweli mafundi wa mtandaoni hawa!! Bila picha ya kazi zake
Hivyo vifaa unavyo taka kufunga je ni kwa finishing au fund anaaza mwanzo kufanya maadalizi ya mfumo wote maji taka na maji taka??Kufunga vyoo (vya kukaa viwili na vya kuchutama viwili), mabafu ya vioo mawili, masinki ya kunawia vyooni mawili na masinki ya jikoni mawili!
Gharama yako kiasi gani..?!
Ni kufunga tu hivyo nilivyovitaja..Hivyo vifaa unavyo taka kufunga je ni kwa finishing au fund anaaza mwanzo kufanya maadalizi ya mfumo wote maji taka na maji taka??
Bei utegemea na hatua.