Fundi bomba balaa

Mimi ndo nimesema.....
Yeye anafikiri ile kitu iliitwa "tendo la ndoa"kwa kubahatisha?Litimie hilo kwanza halafu mengine yafuatia,na ndo mana mwanaume ambae "mashine imegoma hatajihangaishi hata kuingia ndoani.
 
Umentia genye niitie huyo fundi bomba na mm
 
Maghumashi matupu.. unapozesha mada nyingine kwasababu ya faida yako, uku ukiwapandisha wenzio wawe kama wewe filauni?

Ipo siku utatubu dhambi zako hata gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…