Fundi bomba balaa

inabidi nijenge nyumba iliyokamilika kabla sijaoa maana watakuja mafundi bomba, umeme, rangi itakua ni noma,, nimekumbuka na gari sinunui
 
 
 
Siku hizi story ni za michepuko tu, kwa hali hii michepuko increase at an exponential rate
 
Nadhani hii ni kawaida kwa mke aliye na kiu hasa kwa kuwa mme yupo bizee sana ,,,hizi case mbona zipo nyingi hata akiwa mkeo akiwa mkurugenzi mapenzi yana umuhimu wake
 
Naomba kuelekezwa mahali ilipo IKULU, nna salamu kwa Rais, mii ss hv nipo hapa nje WIZARA YA ELIMU
 

Umejitahidi
 
Acha nikuitie Emoj ,akueleze kuwa mwanaume ndani anatakiwa aweje...teh teh,dressing table ni karakana ndogo.
Tutakuwa tunawazibia riziki watu wengine sasa... wanawake wenyewe nyie, hata mfanyiwe nini hamkawii kuchepuka 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…