Zitto yupo sahii.
USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.
Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.
Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho