Hoja yako mbovu kama kiswahili chako na tenzi zako!Mtoa fumbo anajiahibisha tu sio lazima mawazo yake haonekane genius au mawazo ya wote
Uko sahihi bro. BravoBabaako kakataza mikutano unataka zitto akaongelee wap??
Kingne huwez elewa hoja ya zito mpaka utoe uchama uvae utaifa!!
Kaulize wajeshi wetu hupambana na watu wa nan ndio utajua hoja ya zitto
Pia watu wengi hawajui sababu za msingi zilizoifanya Tanzania kutuma wanajeshi DRC. Uhasama baina ya PK na JK wakati ule huenda ndio sababu ya msingi kabisaAngalizo muhimu sana. TZ inaowanajeshi Congo DRC wanaopigana dhidi ya M23 ambao yasemekana wanapata msaada kutoka Rwanda. Rais wa TZ ni rafiki wa Rais wa Rwanda. Je kwa nini askari wetu waendelee kuwepo Congo DRC? Ni bora warudi nyumbani.
Zitto yupo sahii.
USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.
Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.
Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho
Kidume huwa anakufikisha kileleni kuona taswila ya mlima kirimanjaro hongera yakoZitto kabanwa na Magufuli naona ameona aanze kuongea kitaarab. Ama kweli Magu kidume
Umesomeka kwa nguvu 5Uko sahihi bro. Bravo
Heshima kwako Mkuu.Nafikiri Zito anafanya siasa za mtandao kwa sababu mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku.
Heshima kwako Mkuu.
Mimi binafsi nakubaliana na hiyo mbinu inayotumika ila sikubaliani na willing ya Zitto kwa sababu zifuatazo:-
1: Anania kweli ya kupigania Demokrasia au nia ni kutafuta umaaru wake binafsi?
2: Kama kweli anani ya kupigania Demokrasia, je! Kwanini Chama chake hakimsapoti? (Rejea kauli/nakala za Dr.Kitila pia fuatilia siasa za Kitila ile siku akisifiwa na Magu pale Udism.
3: Ule mkutano alioufanya Zitto hatakaharaka pale Mbagala baada ya kusimamishwa bungeni na kutoka Ujumbe wa jumla jumla uliopelekea Polisi kupiga mikutano ya siasa marufuku na ghafla Zitto kuitisha kongamano la uchambuaji wa bajeti na hili kongamano kupigwa marufuku. Nini mantiki ya haya yote?
A: Sio kama kwamba hapa kuna kitu nyuma ya pazia yani kukoroga sukari kwenye sumu ili mlaji are uku akijilamba?
B: Ni kweli Act na Zitto wanataka vyama vya siasa hususani Ukawa izidi kukuwa?
Kuna mengi ya kufikiri na kujifunza huu ya Zitto na Act
Waasi wa Congo wana full Support ya PK FYIBabaako kakataza mikutano unataka zitto akaongelee wap??
Kingne huwez elewa hoja ya zito mpaka utoe uchama uvae utaifa!!
Kaulize wajeshi wetu hupambana na watu wa nan ndio utajua hoja ya zitto
araM
Mkuu upo sahihi kabisa, ila bado nayakumbuka sana maneno ya Mzee Kingunge wakati wa kampeni, na sijui alijuaje. Alisema, namnukuu."Nchi hii inahitaji kiongozi na siyo nyap........ Malizieni wenyewe. Sina milion 7 za kulipa mie.
Subutu....hv unajua utamu wa pesa ya dhahabu na almasi haramu wewe .??Msiwe negative tu..hata kama ni kweli lakini who knows..labda mahusiano ya jpm na pk yanaweza saidia kuharakisha amani ya Congo..
Jamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.
Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu nitawaonyesha shamba langu la mahindi,viazi,maharage na karanga na magunia ya kahawa ambayo sijaamua wapi pa kuiuza hapo ndio watatoka mkukuMkuu Mmawia angalia usije hojiwa umetoa wapi fedha za kunywa supu ya samaki????????
Mmh, Kweli zipo style nyingi za kuelewa mambo! Kama ndio ingekuaNINAVYO FAHAMU MAJESHI YA TANZANIA NA UN YANAPAMBANA NA WAHASI WA KIHUTU WALIO SABABISHA KIMBARI 1994, NA KAGAME ANAWASAKA PIA ILI WAFIKISHWE MAHAKAMANI SASA. SASA TATIZO LIPO WAP?