Zitto yupo sahii.
USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.
Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.
Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho
Angalizo muhimu sana. TZ inaowanajeshi Congo DRC wanaopigana dhidi ya M23 ambao yasemekana wanapata msaada kutoka Rwanda. Rais wa TZ ni rafiki wa Rais wa Rwanda. Je kwa nini askari wetu waendelee kuwepo Congo DRC? Ni bora warudi nyumbani.Jamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.
Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
Mkuu umesahau kuwa mgema akisifiwa tu lazima tembo aliongeze majiZitto yupo sahii.
USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.
Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.
Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho
Daaaa hii kali mimi nipo mwandiga nagonga supu ya samakiJamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.
Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
Umejadili hoja au Umejadili mtu au hoja yake haijibiki umeamua kuikwepa kimtindo, umeamua kuwa mbuni mkuuZitto yupo sahii.
USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.
Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.
Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho
Pia ngoma ikivuma sana mwishowe hupasu. Ukumbuke kuna askari mwenye asili ya Rwanda alitorokea Rwanda na taarifa za siri sijui amesharejeshwa?Mkuu umesahau kuwa mgema akisifiwa tu lazima tembo aliongeze maji
Nisome tena Mkuu.Babaako kakataza mikutano unataka zitto akaongelee wap??
Kingne huwez elewa hoja ya zito mpaka utoe uchama uvae utaifa!!
Kaulize wajeshi wetu hupambana na watu wa nan ndio utajua hoja ya zitto
Kweli mkuu nakumbuka hiyo issue hivi juzi halikuzungumziwa?Pia ngoma ikivuma sana mwishowe hupasu. Ukumbuke kuna askari mwenye asili ya Rwanda alitorokea Rwanda na taarifa za siri sijui amesharejeshwa?
Tukuulize wewe mkuuMbona hatuhoji uswahiba wetu na Warusi au Wamarekani wanaosupply Silaha zinazotumika huko CONGO ??
Teh...............uchwara
Nini chanzo cha uhasama kati ya JK na PK?Angalizo muhimu sana. TZ inaowanajeshi Congo DRC wanaopigana dhidi ya M23 ambao yasemekana wanapata msaada kutoka Rwanda. Rais wa TZ ni rafiki wa Rais wa Rwanda. Je kwa nini askari wetu waendelee kuwepo Congo DRC? Ni bora warudi nyumbani.
Suala la huyo Bwana kufanya uhaini na kujificha Rwanda naona kama limeshasahaulika ila kidiplomasia linapotezewa. Hapo ujue huu urafiki na Rwanda ni wa mashaka sana, ilitakiwa Rwanda imrejeshe huyo mtuhumiwa kama kweli kuna urafiki usio na mashaka. Pia Rwanda iende mbali zaidi kwa kuonyesha kivitendo kwamba imesitisha misaada kwa wapiganaji wa M23.Kweli mkuu nakumbuka hiyo issue hivi juzi halikuzungumziwa?
zitto yupo sahihi , siku si nyingi tutasikia serikali yawarudisha askari wake kinyemela kongo. Kagame ni mjeuri sana.