Nimeona TV moja imeandika "Simba yatangulia robo fainali" kwa herufi kubwa nikasema vyombo vya habari Tanzania ni janga.Vitu vya sheria havitaki maono na mtizamo Bali vinataka fact/sheria/Kanuni zinasemaje.Wanaanza kuangalia kwanza Head 2 Head, matokeo yenu nyinyi wawili mechi zote 2, ikitokea mko sawa, mfano Simba kashinda Congo 1, na Vita kashinda Dar 1 bila hapo wanakuja kigezo number 2 ambacho ndio Goal Difference, ikitokea GD bado mpo sawa vinakuja vigezo vingine mpaka number saba, nachelea kuviandika kwa kuchanganya nilisoma katika gazeti, kigezo cha mwisho number nane inachezeshwa droo kati yenu atakayeshinda ndio anaendelea
Nliona jamaa mmoja anakushauri sana kulamba limao. Naona alikuwa sahihi. Lamba limao. Unaendeleaje lakini? Mpaka itatoka kwa haya inayoyafanya Simba.... Lazima itoke. Lamba limao tena....😜😜😜😜😜😜😜😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi hii Simba mnaichukuliaje nyinyi[emoji848]? Hiyo game ni either Vita Club afe, au atoe sare.Nawaona vita akimfunga simba bao 3-0 kwa mkapa. Almereck anafia kongo 6-0. simba anabaki Anaugumia tu
Wewe mwanamke wewe basi tutunatoboa hiyo
Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Hivi ikitokea umeota unabakwa utajiandaa kwa vile ndoto zako huwa ni kweli 100%??Mpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengi[emoji16] keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vitu vya sheria havitaki maono na mtizamo Bali vinataka fact/sheria/Kanuni zinasemaje.Wanaanza kuangalia kwanza Head 2 Head, matokeo yenu nyinyi wawili mechi zote 2, ikitokea mko sawa, mfano Simba kashinda Congo 1, na Vita kashinda Dar 1 bila hapo wanakuja kigezo number 2 ambacho ndio Goal Difference, ikitokea GD bado mpo sawa vinakuja vigezo vingine mpaka number saba, nachelea kuviandika kwa kuchanganya nilisoma katika gazeti, kigezo cha mwisho number nane inachezeshwa droo kati yenu atakayeshinda ndio anaendelea
wewe member tumia akili basi sio kukaa kujichekea chekea tuMpira ni uchawi mkubwa sanaaa. Leo nimeota Simba hawajafuzu robo fainal.
hii ni baada ya kupigwa match zote mbili zilizobaki, hivyo akaringana na Vita club ila Vita ikasonga mbele kwa advantage ya magoli mengi😁 keep waiting. hii coment itakuja kufanyiwa reference wakuu. najua mtasema mm utopolo. sawa ila ndoto zangu zinakuwaga 100%🤣🤣🤣
jamn mmeshinda, mmeteka mji wote hivi, kwahiyo tushindwe kuwatishia kidg watani?Hivi ikitokea umeota unabakwa utajiandaa kwa vile ndoto zako huwa ni kweli 100%??
sawa mkuu.wewe member tumia akili basi sio kukaa kujichekea chekea tu
Utopolo unateseka pande za wapi? Mpaka mtoe mwiko ndo mtapata akili.
SawaUtopolo unateseka pande za wapi? Mpaka mtoe mwiko ndo mtapata akili.
Nahisi anaona miqquissone anamfunikaMkunduma aliyezingua Leo ni chama tu..
Leo mchana nilikuwa nafanya kikao nikaambiwa mpaka kufika mapumziko ni mbili bila,MALCOM LUMUMBA njoo huku mtani
mbona unawapenda sana waarabuLeo mchana nilikuwa nafanya kikao nikaambiwa mpaka kufika mapumziko ni mbili bila,
Niliumia na kukasirishwa sana nikawaza leo lazima wewe jamaa uniletee mbwembwe,
Wangeruhusu kuingia uwanja wa taifa ningevaa kanzu nishabikie waarabu aisee...
Vita ana -1 Simba ana +5 unategemea Simba kufungwa 6 na Vita kufunga 8 mechi zilizobakia?Anapita Vita kwa sababu anamagoli mengi zaidi ya simba wakilingana pointi 10 na ninaona uko mbele simba akijitahidi kati ya mechi zake hizo mbili ashinde moja na kufungwa moja atapita ila naona mwendo huu wa simba huko mbele anamaliza nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishikwa na wamisri. Hebu tusubiri tuone bado mechi hizi ni bado ni mapema wote watatu wana nafasi ya kufuzu yaani simba, Al ahly, na As Vita tusubiri tuone yajao yanafuraisha kama tukiwa makini na mechi yetu hii ya nyumbani zidi ya As vita tunatakiwa tushinde na sio sare ili tuwe na pointi 13 ili twende laundi ya pili, kila la heri Simba Mungu awe pamoja nawe.
Sawa dada unateseka ukiwa wapEl
Al Mereick wamekata rufaa CAF wachezaji wake nane wamebambikizwa COVID-19. Simba mnalo
Mechi yake ya mwisho dhidi ya As vita?Simba atakuwa amefuzu robo fainali baada ya kufanya vyema mechi yake ya mwisho dhidi ya As Vita. Otherwise mambo yanaweza badilika na story ikawa nyingine, hivyo wasibweteke, mechi yao na Vita itakuwA Ni fainali amini usiamini, ninachangia Kama mpenda soka. Narudia Tena Simba wasibweteke, hiyo mechi Ni ngumu mno kuliko fikra za wengi. Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania, sisi Yanga tunaangalia na kujifunza mnakopitia, ili tukipata nafasi nasi tusiwaangushe watz.