Aksante Nilijua kazimoto na yeye kaachwa Na Ndege! Then wankuja Ona Mpira Wake Mbovu Wankuja Mtoa Dakika Za Mwisho.Leo Simba sc tumefungwa kwa sababu moja kubwa.
Baada ya John Boko kuumia ilibidi aingie Gyan. Au Kazimoto, hao wote wangeendana na kasi ya mchezo wa Mwadui.
Mavugo hana kasi, hakabi, hamiliki mpira. Kuingia kwake tukaanza kushambuliwa maana mbele hakukuwa na madhara tena.
Kocha aangalie tutakuja kosa ubingwa kwa mapenzi ya mtu mmoja.
Simba tunataka ubingwa mwaka huu.
Aya NaendaNenda akupe sasa
Kwani siyo timu? Ni netball?unaiwekaje Bayern, Madrid Barca kundi moja na vitu vya ajabu mkuu?
Hahaaaa SAINT IKO FB TOKA AANANE KILA KONA AJABAHATISHA M NDIO NIMEONA TUSHARE MAJONZIMpumbavu huyu si angeipost kabla ya gemu?
Ukuje uchukue chupa yako ya WineAiseee
Bado kidogo tu, Train linakuja kwa kasi y'a ajabuHalafu leo Vyura FC wamejitokeza sana kwenye thread hii, muda mwingine huwa mnaingia mitini, kumbe huwa mnaumia na 4G za Mnyama eeeh. Bado mnasafari ndefu kutufikia
Kwa hisani y'a RefaWalisema Okwi hajawahi kufunga nje ya dar...haya sasa
Mavugo ni mzito sana.Aksante Nilijua kazimoto na yeye kaachwa Na Ndege! Then wankuja Ona Mpira Wake Mbovu Wankuja Mtoa Dakika Za Mwisho.
OK ndo Mpira Uo.
Asanteni Mwadui tunashukuru kwa kazi nzuri,hawa vilaza tumewazoea wanakomaa ila mwishoe wenye kombe letu tunanyanyua kama kawa ila Mikia mnakera sana kututegea kwenye ubingwa na sisi tunachoka jamani duh.
Yaani Wamejazana Hatari.Nimejikuta Nacheka kila Naposoma Comments Zao. Utazani Washachukua Ubingwa Tayari Lol!!! Hahahahah!Halafu leo Vyura FC wamejitokeza sana kwenye thread hii, muda mwingine huwa mnaingia mitini, kumbe huwa mnaumia na 4G za Mnyama eeeh. Bado mnasafari ndefu kutufikia
Hahahahahah!!! Dah!!Asanteni Mwadui tunashukuru kwa kazi nzuri,hawa vilaza tumewazoea wanakomaa ila mwishoe wenye kombe letu tunanyanyua kama kawa ila Mikia mnakera sana kututegea kwenye ubingwa na sisi tunachoka jamani duh.
Aya Naenda
Aksante Nilijua kazimoto na yeye kaachwa Na Ndege! Then wankuja Ona Mpira Wake Mbovu Wankuja Mtoa Dakika Za Mwisho.
OK ndo Mpira Uo.
Na kweli wamepunguzaSimba punguzeni kunipa raha