Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Kila mwenye sikio amesikia na mwenye macho ameona kazi iliyofanywa na kamati ya PAC chini ya mwenyekiti mh Zitto Kabwe na makamu wake Deo juu ya Tegeta Escrow Account, hongereni mmekata kiu ya watanzania
 
Hivi unafuatilia hili balaa? Mdakuzi

Yeah! Tena sana. Naona haitoshi kwa hawa jamaa kujiuzulu tu, lazima kifanyike kitu. Lowassa na kundi lake walijiuzulu halafu mambo yakaisha, sasa matokeo yake yamejirudia yale Yale.
Ova
 
Last edited by a moderator:
The rise and fall of Mizengo Pinda along with the disgraceful end of once hard working Prof. Anna Tibaijuka.
 
Bunge litaendelea kesho, watuhumiwa wamepewa muda wa kujitafakari na kuandika barua za kujiuzuru.

LOWASSA COME BACK.

Kwamba wale wenye kashfa na kujiuzuru watengeneze timu au??? Labda sijakuelewa!! Yaliyomkuta Pinda na Lowassa yalikuwa hayo hayo, tena angalau Pinda hajausika moja kwa moja na kukwapua pesa ingawa nina hakika zile za kwenye rambo ni zake, leo Pinda ni 'guilt' sababu ya uongozi mbovu na upotoshaji. EL alihusika 'laivu' na kuchota.
 

Haya ndiyo Muneno! VIVA PAC.
 
Dahhhh kaazi ipooo Hadi wachungaji na maaskofu nao wamelamba mzigo???
 
Kamati ya zito imekugusa ila wameshindwa kutoa mapendekezo dhidi yako kwa kuhofia nchi kutikisika.
Sasa kwa kuliona ili tunaomba chukua hatua kwa manufa ya uma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…