Wakuu habari ,naomba kuuliza iv full body chekup inaend kiasi gan?
Pia kufanya ultrasound katika maeneo ya kifua inakuaje maana nina sehem inanipa vi maumivu kwa mbaali
sasa hata paracetamol huzijui? kwamba hayo maumivu yana muda gani? si tuliambiana sisi waafrica hasa tanzania tunaishi na kuyazoea magonjwa refer covid mbona mmeanza kuasi kambi na hamsemi
Hapo sawa ila jamaa kasema anataka kucheki mwili mzima mzunguko wa damu sukari wingi wake wa maji na bandama Figo na ngozi mixer ubongo macho everything Cc ephen_Fake P