Fugitive’s son returns home, reveals Rwanda’s better story

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738

Rwandan Refugees bording a United Nations Truck.Rwanda in 2013 declared a cessation clause for its refugees who fled between 1959 and December 1998.

Louis Antoine Muhire, a Rwandan refugee living in Canada, visited Rwanda for the first time in 20 years after fleeing the country in 1994.

For over 20 years, Muhire had never considered returning to his country because of numerous negative reports about Rwanda, spreading in the Diaspora.


"I read a few good reports about Rwanda's development, but I wouldn't risk coming back," he says.

But, "The bad reports outweighed the good ones," he adds.

For example, "I was told that I would get jailed or killed the moment I set feet in Rwanda," Muhire says.

Apparently Muhire was told he would be held captive over his father's genocide crimes, only to be proven wrong during the 15 days he spent in Rwanda.

Muhire is one of the millions of Rwandans who have returned home due to government efforts to repatriate Rwandan refugees.

"My father is wanted by Interpol, but this never stopped the Rwandan embassy in Canada to grant me a temporary passport to Rwanda, when I expressed interest to visit," says Muhire.

The Ministry of Disaster Preparedness and Refugee Affairs (MIDMAR) says 3,456,429 registered Rwandan refugees have returned home between 1994 and December 2014. Muhire is one of them.

About 47% (1,625,869) came from DR Congo, 27% (922,655 ) from Tanzania, 16% (553,118) from Burundi, 10% (349,838) from Uganda.

Others came from Gabon, Malawi, Zambia, Congo Brazzavile, Cameroon, South Africa, Mozambique, Kenya, among other countries.

An estimated 100,000 Rwandan refugees still reside in different countries.

On June 30, 2013, Rwanda declared a cessation clause for Rwandan refugees who fled the country between 1959 and December 1998.

Countries hosting Rwandan refugees were called on to declare them or abide by the clause. Since then Zambia, Malawi, DR Congo, Burundi, Niger and Zimbabwe have invoked the cessation clause.

Meanwhile, Rwanda has used different measures to ensure return.

Transit camps established in the Western Province receive the returnees and provide them with basic facilities to begin a new life.

Rwanda has collaborated with UNHCR and WFP, to register returnees and donate a three-month repatriation package, which includes food and other basics.

The package offered by UNHCR is worth $100 for adults and $50 for children.

But for returnees of Muhire's status, all they need is the feeling of ‘being back home'.

Source:
abiwacu.com
 
Haya sasa jMali umebaki wewe tu na wenzako kina kibao-kata JustDoItNow, ariko amaherezo y'inzira ni munzu! Hata wale mnaowatishia kuuliwa pindi wafikapo Rwanda hivi wanakula bata nakuishia kuwasanifu tu na hiyo FDLR yenu, mi nakushauri kama ndugu yako, achana na hivyo vi article uchwara bwana, njoo turekebishe mambo ya muhimu kwa nchi na jumuiya yetu ya EAC...huko mbeleni patamu
 

Nijibu hili swali halafu tuendelee: how many refugees does rwanda have ukiacha wale walio DRC?
 
Nijibu hili swali halafu tuendelee: how many refugees does rwanda have ukiacha wale walio DRC?
Kumbe hujanielewa? Ndio maana unakuja na viswali vyako kana kwamba mi ni director wa UNHCR! Hivi kwa nini unakuwa mgumu kuelewa na mwepesi kusahau? Au unajifanyisha? Tokea zamani nilisha kuambia hao wakimbizi unaotaka kujuwa idadi yao, wako ukimbizini kutokana na propaganda zenu na nikakuambia siku watapopata kujuwa ukweli wamambo watakuchukia pasipo kifani, mfano wa karibu ni MUHIRE aliyeamua kurudi kwao kutokea Canada, ingawa baba yake alikuwa muuwaji mwenzako! Cha muhimu nilikuwa nataka nikufahamishe jinsi mnavyowayeyusha ndugu zenu kwa kuwadanganya bila haibu... Dogo mwenyewe kajisemea, kitu kilichomchelewesha kurudi kwao ni articles zenu za kuungaunga(propaganda) mlizojaza kwenye net ila nilipo mvulia dogo kofia ni pale alipoamuwa ku test zali... Hivi ukitokezea mbele yake ukamwambia eti wewe ndio jMali atakachokufanya anakijuwa mwenyewe...
 

swali dogo jibu kuuubwa, swali ni : "how many Rwandans are refugees, besides the ones in DRC?".
 
swali dogo jibu kuuubwa, swali ni : "how many Rwandans are refugees, besides the ones in DRC?".
Kusudi iweje? Unataka kuwapa misosi?
Wee bwana... Laana tupu!
 
Hata north Korea wana hadithi Kama hizi.
 
swali dogo jibu kuuubwa, swali ni : "how many Rwandans are refugees, besides the ones in DRC?".
Mbona kajibu, amekwambia yeye siyo UNHCR kujua idadi ya wakimbizi, labda wewe uliyefanya census unaweza kutusaidia, mko wangapi ambao mpo ukimbizini?
Again naona unataka ku divert, yeye kakushauli mrudi nyumbani kwenu Rwanda basi, ungejibu kwamba haupo tayari au bado unasubiri ndugu zako FDRL warudi,au mpaka Kagame atoke ingetosha; otherwise your question was irrelevant.
 
Hata north Korea wana hadithi Kama hizi.

aisee... kweli nyie sio mchezo hata pale mhusika anapotoa ushuhuda wake bado tu mnapinga? dogo mwenyewe kajisemea baba yake alikuwa muuwaji na yeye mwenyewe alikuwa akiishi Canada, baada ya kuwashtukia kina jMali kaamuwa kurudi home na hivi anaukula bata tu, sasa msichoelewa ni nini? hiyo N. Korea unaijuwa mwenyewe...
 
Kusudi iweje? Unataka kuwapa misosi?
Wee bwana... Laana tupu!


hahaahha, nyie wanyarwanda wa wapi ambao hamko interested kujua wanyarwanda wenzenu wakimbizi wako wangapi jumla? ...lakini at the same time mko interested na stori za huyo Migire, a single person. Why the double standards? Ninachouliza ni how many migires are out there totally, ni hilo tu.
Ngoja niwasaidie ili tujadili vizuri: according to UNHCR, Tukiacha wahutu wa DRC (ambao nyinyi mnasema wote ni FDLR), Rwanda ina wakimbizi katika nchi za Burundi, South Africa, Zimbabwe, zambia, mozambique, malawi, kenya, the republic of the congo (sio DRC), na hapo ni Africa tu, bado the whole of europe and america, tunazungumzia malaki ya watu. UNHCR ilitaka kufuta hadhi yao ya ukimbizi ili warudishwe nyumbani, thinking since most of them are tutsis, it won't have any problem. Lo! Imagine the suprise, watutsi hao wakalalamika kuwa hawawezi kurudi kwa sababu ya utawala mbovu wa kagame! Wao walikimbia genocide, lakini leo hii hawataki kurudi kwa sababu ya kagame. Wanyarwanda wanakimbia nchi even baada ya genocide, mfano aliyekuwa balozi wa netherlands, jean pierre bizimana aliyegoma kurudi Rwanda na kuomba ukimbizi ireland kwa sababu alikataa kupanga mipango ya kumu-assasinate victoire ingabire akiwa netherlands, na Ireland wakakubali sababu zake na kumpa hadhi ya ukimbizi!, inayotambuliwa na UNHCR! Ireland nao ni maadui wa rwanda kama Tanzania kwa hilo? For goodness sake hata mfalme wenu mtutsi aliyepinduliwa kwa mapinduzi ya wahutu, ambapo ndipo kagame na familia yake wakakimbilia Uganda, naye hataki kurudi, he lives in poor people gov housing in united states akitegemea hisani za wasamaria mwema! Mwanaye kafariki akiwa dereva teksi ubelgiji, yote hiyo kwa sababu ya kutotaka kurudi Rwanda chini ya kagame. Hawa wote ni ndugu zake kagame kabisa (malkia alikuwa mama mkubwa wa kagame). Leo hii UNHCR imeshindwa kufuta hadhi ya ukimbizi kwa wanyarwanda kwa sababu haijaridhika kuwa wakimbizi hawa watakuwa salama under kagame, leo hii hapa EAC, ni MNYARWANDA tu ndie anayeweza kukimbilia nchi za watu na kudai ukimbizi na kupewa hadhi hiyo na UNHCR! Mtanzania hawezi kudai hivyo kamwe! Halafu nyie mnajaza ID zenu hapa JF kushangilia kurudi kwa mtu mmoja ambaye probably kalipwa na serikali kupiga PR, mkiulizwa how many Rwandans jumla are refugees mnang'aka eti nyie sio UNHCR, why are rwandese (tena mostly tutsis) bado wanaomba hadhi ya ukimbizi, mnajifanya nyie sio UNHCR. Okay, mnatufanya hatuna akili, basi tufanye mmeshinda.

cc: JustDoItNow nyumba kubwa.Kobello
 

Mzee wa sumu unaongea lugha gani hiyo? ahahahhha,
Umechanganyikiwa? tema sumu tema sumuuuuu
 
Kusudi iweje? Unataka kuwapa misosi?
Wee bwana... Laana tupu!

Ahahahahha, mzee wa sumu. Nilikwambia wewe akili yako ndogo. Jibu swali. Mbona una copy and paste majengo unasema rwanda kama huko ikulu. Leo hili unaanza kubwabwajabwabwaja! ahahahahhahaha.
Yaani wewe kuanzia jina kichekesho, comment kichekesho......LOL
 

Migire? Basi kama kuna wazugaji basi we number1, wacha kujichoresha! Jina ni Muhire sasa ilo la Migire umelitowa wapi? Au ndio bidii zakuonyesha watanzania kuwa huna uhusiano na Rwanda? Wewe bwana hata uchapie vipi, wenye akili timamu tunakujuwa... Wee endelea kuandika hizo sumu zako lakini Rwanda tunaendelea kuchapa kazi wanaopata bahati ya kukugundua wanarudi home na kutuunga mkono tulipofikia... Hata wewe ukirudi hakuna atakaye kuandama labda tu ukitaka kuongeza kufanya vile viloja vyenu vya kipindi kile, erega n'ibyaye ikiboze irakirigata, iwanyu ngo mutahe.
 

Unajua wewe interahamwe, umekutana hapa na watu makini sana. Nadhani hukutarajia. Ulivyoanza hiyo solo campaign ya kuichafua rwanda, ulidhani itakuwa mteremko tu mpaka watanzania wote wajiunge na hiyo hatred yako basi ili uweze kuishi huko ukimbizini bila kubugudhiwa. Well kama unakumbuka vizuri, nilikuambia umeingia choo cha kike. We are in for the long run and take it from me you will loose. Sasa kuhusu hilo swali lako la kizushi, yes i know how many refugees are in the diasopora....ONE. Just you jMali. Just you. Lakini wewe wala hatutaki urudi kwetu. Filia huko huko porini. Hatukutaki.
 
Last edited by a moderator:

HAHAHAHAHAHA. Asante mkuu, nadhani msg atakuwa ameipata.
 

kwa hiyo umeacha hoja zoote ulichoona muhimu ni kunisahihisha spelling? okay, tufanye umeshinda. Ila i'm sure waliosoma wanajiuliza iweje Rwanda iwe na wakimbizi wa kitusi spread all over the world, na hawataki kuondolewa hadhi yao ya ukimbizi wakiogopa kurudi kwao, iweje watutsi wakimbie Rwanda leo hii na kuomba ukimbizi, lakini wewe na wenzio mkose usingizi over 1500 hutus in DRC.
 

just one, okay, damn the UNHCR then, they must be paid by the FDLR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…