Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Nishaupata kupitia kuku nataka kubadili biasharaWewe hutaki utajiri mkuu?
Njoo tuongeeSitaki utajiri. Nataka kufuga tu
Basi sawaaa ngoja waje Mara moja kuchukua utajiri, mwenzio mi naogopaaNishaupata kupitia kuku nataka kubadili biashara
Sio kweli.Nishaupata kupitia kuku nataka kubadili biashara
Mkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tuShamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji ya yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
Fuga...Sitaki utajiri. Nataka kufuga tu
Huwa wananikera sana wanaoweka matangazo bila bei.Mkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tu
Asilimia kubwa wanakuaga madalali hawa,Huwa wananikera sana wanaoweka matangazo bila bei.
Very right, piga picha eneo na hio miundo mbinu, weka bei then itasaidia kutu-motivate, haikugharimu chochote kileMkuu kwann usiweke bei kabisa kupunguza kero za kupigiana simu weka kodi na bei ya mauzo ili mtu akikupigia ajue mnafanya majadiliano tu
Hutaki umfikie Mengi?Nishaupata kupitia kuku nataka kubadili biashara