9km /L , at good contion hata 10km/LKama kichwa Cha hbr kinavyojieleza, mwenye uzoefu na hicho chombo Cha usafiri hasa ktk mizunguko ya kawaida town (mwanza)
Matumizi ya mafuta
Pamoja na changamoto zingine kama zipo.
Karibu.
boss chukua 2010+ walau gari iwe na umri miaka 10+Kama kichwa Cha hbr kinavyojieleza, mwenye uzoefu na hicho chombo Cha usafiri hasa ktk mizunguko ya kawaida town (mwanza)
Matumizi ya mafuta
Pamoja na changamoto zingine kama zipo.
Karibu.
Asiogope ulaji wa mafuta...