magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,054 Reaction score 34,495 Oct 31, 2015 #21 Loitore said: Mkishakutana na mteremko basi mataaaaambo,.majimaji walikuwa wanashangaa uwanja si unajua toka ujengwe hawajawahi kutia mguu:what: Click to expand... Umeanza kufatilia mpira mwaka huu?
Loitore said: Mkishakutana na mteremko basi mataaaaambo,.majimaji walikuwa wanashangaa uwanja si unajua toka ujengwe hawajawahi kutia mguu:what: Click to expand... Umeanza kufatilia mpira mwaka huu?
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 1, 2015 Thread starter #22 magnifico said: Umeanza kufatilia mpira mwaka huu? Click to expand... Moderator #BringBackVitufeVyaLike.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
magnifico said: Umeanza kufatilia mpira mwaka huu? Click to expand... Moderator #BringBackVitufeVyaLike..
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 1, 2015 #23 sembo said: Tunakimbiza mwizi kimya kimya.. Hutaamini nafasi tutakayokua ligi itakaposimama kwa ajili ya mapumziko. Click to expand... Hongereeni Mikia, ... na ninyi mnawindwa kimyakimya, Mtibwa na Azam wako mawindoni dhidi yenu.
sembo said: Tunakimbiza mwizi kimya kimya.. Hutaamini nafasi tutakayokua ligi itakaposimama kwa ajili ya mapumziko. Click to expand... Hongereeni Mikia, ... na ninyi mnawindwa kimyakimya, Mtibwa na Azam wako mawindoni dhidi yenu.
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 1, 2015 Thread starter #24 Makoye Matale said: Hongereeni Mikia, ... na ninyi mnawindwa kimyakimya, Mtibwa na Azam wako mawindoni dhidi yenu. Click to expand... Ole wao wakutane na Mnyama huyu ambae hana utani kabisa akiwa mawindoni.
Makoye Matale said: Hongereeni Mikia, ... na ninyi mnawindwa kimyakimya, Mtibwa na Azam wako mawindoni dhidi yenu. Click to expand... Ole wao wakutane na Mnyama huyu ambae hana utani kabisa akiwa mawindoni.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 6, 2015 #25 sembo said: Ole wao wakutane na Mnyama huyu ambae hana utani kabisa akiwa mawindoni. Click to expand... Mkimfunga Azam nitawaelewa sana, vinginevyo siwaelewi kabisa!
sembo said: Ole wao wakutane na Mnyama huyu ambae hana utani kabisa akiwa mawindoni. Click to expand... Mkimfunga Azam nitawaelewa sana, vinginevyo siwaelewi kabisa!
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 6, 2015 Thread starter #26 Makoye Matale said: Mkimfunga Azam nitawaelewa sana, vinginevyo siwaelewi kabisa! Click to expand... Hahaha.. Sisi na Azam tu ndugu.. Hivyo tutajua tutafanyaje.
Makoye Matale said: Mkimfunga Azam nitawaelewa sana, vinginevyo siwaelewi kabisa! Click to expand... Hahaha.. Sisi na Azam tu ndugu.. Hivyo tutajua tutafanyaje.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 8, 2015 #27 sembo said: Hahaha.. Sisi na Azam tu ndugu.. Hivyo tutajua tutafanyaje. Click to expand... Kama hamuwezi kuwafunga basi wao wawafunge vinginevyo basi mtoe suluhu/sare kama itakavyowapendeza ninyi. Kwa matokeo ya ninyi kumfunga Azam au Azam kuwafunga ninyi au kutoa sare/suluhu kwetu ni poa tu.
sembo said: Hahaha.. Sisi na Azam tu ndugu.. Hivyo tutajua tutafanyaje. Click to expand... Kama hamuwezi kuwafunga basi wao wawafunge vinginevyo basi mtoe suluhu/sare kama itakavyowapendeza ninyi. Kwa matokeo ya ninyi kumfunga Azam au Azam kuwafunga ninyi au kutoa sare/suluhu kwetu ni poa tu.