FT: Manchester United 4-4 Aston Villa | EPL | Old Trafford

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,178
Reaction score
7,296
Manchester United imeonyesha mchezo wa kupambana hadi dakika za mwisho baada ya kutoka nyuma kwa mabao 4-2 na kufanikiwa kusawazisha matokeo hadi kuwa 4-4 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa dimba la Old Trafford.

Hata hivyo, matokeo hayo bado si rafiki kwa Manchester United, ambayo inaendelea kushika nafasi ya 18 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England ikiwa na alama 8 pekee.

===============
Hadi sasa Man United wapo nyumba wakiwa nyumbani kwao Kwa goli 2 kwa sifuri

Ila hii Man u ni hasara tupu
Updates

Man U wamefanya umwamba wao wamerudisha magoli yote mawili ngoma bado mbichi
 
Man you ana hali mbaya huwezi ukawa kwako ndani ya dk 4 umepigwa goli mbili chap chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…