Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,092
Mbona unatabiri kirahisi hivo mkuu!Leo ujerumani anapoteza hii game
Nadhani mpaka sasa umeona utabiri wangu uko sahihiMbona unatabiri kirahisi hivo mkuu!
Tulia kijana mtabiri utakuwa wewe!Nadhani mpaka sasa umeona utabiri wangu uko sahihi
😄 Oya Africa ni Africa tu huwaga hatuko serious na kazi kabsaTulia kijana mtabiri utakuwa wewe!
Wameniudhi sanaJamaa hawako serious kabisa, Mimi mwanzo nilidhani wameuza game but ndivyo walivyo, Germany wana timu ya kawaida Sana. Yaani unaona kabisa Ivory Coast ni Jambo la kukaza kidogo tu hii mechi wangeshinda, Ivory coast wakienda mbele unaona kabisa kama wengekuwa serious Magoli wangepata.... Germany Hadi walichanganyikiwa, Jamaa wanakuja Tu...Hatupo serious...asiposhinda mechi ijayo anatoka maana Ecuador hatacheka na yyte.....
Nadhani majibu unayo mwenyewe..Nadhani mpaka sasa umeona utabiri wangu uko sahihi