Hii ndio Simba ya kwenda kushindana kombe la shirikishoπ€£π€£π€£ mbinu za kocha kuifungua timu iliyo vizuri ni ovyo tu, timu inacheza pungufu but uoni tofauti yoyote ya timu pungufu na timu iliyokamilika, na bado wanacheza na al hilal iliyopungua UBORA wake kwa kiasi likubwa sana na bado wanaenyeka namna hii!