Mbona unazidi kurudi nyuma? Tuwekee current results mzee. Mimi nazungumzia 2023 kuja hadi 2024 wewe unaleta tukio la muongo mmoja uliopita. Yaani unaleta jambo la miaka 10 nyuma.
Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?
Acha upuuzi wewe Mpira unachezwa hadharani al hilal hii ndo uwaweke na vitalo watatoka awa? Hizo rank za top 3 zimebaki kama kichaka chenu kwa sasa leta current performance ya sasa ikoje?
Pamoja na ubovu wa kibu dennis, lakini huwa na afadhali zaidi na zaidi akicheza upande wa kuliko kutokea kushoto.. Upande wa kushoto kibu anakuwa mbovu mara 3 yake. Upande wa kulia kibu huwa anatoa kitu.