Bado hesabu zinakuwa wazi kwa kila timu kufuzu, Yanga si wana mechi nao hao Mc Alger? Kinachotakiwa Yanga ashinde vs Al Hilal kisha mechi ya mwisho amfunge Mc Alger kwa magoli matatu bila kuruhusu goli
Wapange matokeo wakati bado hakuna ambaye kaisha kata tiketi ya kufuzu? Hata hao Al Hilal wenyewe pamoja na kuwa na point 9 bado kimahesabu anaweza asifuzu kama atapoteza mechi mbili zinazofuata
Bado hesabu zinakuwa wazi kwa kila timu kufuzu, Yanga si wana mechi nao hao Mc Alger? Kinachotakiwa Yanga ashinde vs Al Hilal kisha mechi ya mwisho amfunge Mc Alger kwa magoli matatu bila kuruhusu goli
Wewe shuleni somo la hesabu lilikupiga chenga, una mpira wa kukariri bila hesabu. Achana na point 9, Al Hilal ilishindwa kufuzu pamoja na kuwa na point zao 10. Ni champions league ya msimu wa 2019/2020