Kituko ni kwamba, utakuta uto wanang'ang'ania kuwa nafasi ya tatu Afrika mbele ya USMA ambaye alibeba kombe mbele yao na sasa anasumbuana na Ahly hapa.
Kinachochekesha zaidi kigezo kikubwa wanachotumia kung'ang'ana kuwa juu ya USMA ni medali na kwamba USMA hawakustahili kombe ila wao.