FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.

Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Alikuja kukalia kitu chenye ncha Kali akajamba cheche
 
Acha niangalie mbungi ya Singida BS na mbeya city,, siwezi kupoteza muda wangu kuwaangalia losers kwenye kombe la mbuzi
 
Hii Yanga inanikumbusha chama langu, timu ya wabeba mizigo ya Tandale sokoni
 
Back
Top Bottom