FROM THE PUBLIC EDITOR'S DESK : Locomotives scam stinks to high heaven, and yet Tanzania’s media is blissfully silent

Huyu ndugu anaipenda shingo yake?
 
Reactions: BAK
Master piece.
 
Reactions: BAK
mzee amesahau enzi za mafuta mazito ya iptl. yani mgao unaanza leoleo. tenda ya kununua mafuta inatangazwa kesho yake mafuta yanapatikana watu wanayo depot tayari.

bongo ni zaidi ya uijuavyo.

vibali vya kuagiza sukari vinatoka, watu wanamzigo tayari bandarini.
 
Kivuko chakavu kiliponunuliwa kwa bilioni 8 na ushee kutoka kampuni inayojulikana duniani kwamba inaungaunga tu meli chakavu, media kama kawaida ilikuwa silent. Magufuli alipoanza tena mchezo wa kuigiza eti kuna vichwa vya train hajulikani mwenyewe, kama kawaida media na wananchi wajinga waliologwa wakakaa kimya. Kama hiyo haitoshi, hiyo hiyo serikali inaunda eti timu ya wataalamu kuangalia uwezekano wa kununua mali ambayo kwanza tuliambiwa haina mwenyewe, pili inakuja kugundulika kwamba mali hiyo ilishalipiwa na serikali hiyo hiyo. WTF! Vilaza na mazwazwa wanashangilia wakipiga vigelegele...Serikali inakula na vipofu! HAPA KAZI TU!
 
Watu wasiojulikana, wamiliki wasiojulikana .. kumbe wanajulikana? Serikali ya ajabu kwli kweli. Sasa mkimlipa si tayari tumeshamjua?
 
Ni mshangao zaidi ya kushangazwa
Serikali ya ccm
Mnakimbizana na ufisadi uchwara mnaacha watu kama hawa wanajilia watakavyo
Mkuu BAK asante kwa taarifa
 
Reactions: BAK
Shukrani sana Mkuu Pakawa kuhabarishana yanayojiri ndani ya nchi yetu pendwa ni wajibu wetu yawe mabaya au mazuri.

Ni mshangao zaidi ya kushangazwa
Serikali ya ccm
Mnakimbizana na ufisadi uchwara mnaacha watu kama hawa wanajilia watakavyo
Mkuu BAK asante kwa taarifa
 
Naunga mkono msimamo wako kwa 100%. Huyu bwana in janga LA kimataifa!
 
Na huyo atakayelipwa mara ya pili ni nani wakati 71 billion zilishalipwa tangu 2013!?

Swali la mwaka hili. Na hazina itaiandika hiyo cheki kwa nani au mtalipa cash 71 billion? Kweli Escrow hazitakaa ziishe Tz
 
Reactions: BAK
Yaani hawa jamaa ni was ajabu sana! Haya ma-engine yamenunuliwa na serikali yakaletwa hapa TZ, serikali ikaruka kuwa si ya kwake, sasa wanataka kuyalipia tena. Haya ndo maajabu ya Tanzania Vi-wonder! Pathetic
 
Hii kitu hii inanikumbusha tuu .kuwa ccm ni ile ile na kinacho endelea sasa hivi na kiongozi wetu huyu wajuu kabisa ni mikwara tuu ya kuzuga kabla ya kurejea kama ilivyokuwa au zaidi ya huko nyuma.na ndio maana hizi juhudi kubwa kabisa kuzima sauti za upinzani na wananchi kwa ujumla zikishika hatamu ya kwanza .siyo bure ni siri nzito
 
Jamani mi kizungu kinanisumbua, yaani mnataka kusema mwaka 2013 serikali ilifanya mazungumzo na kampuni ya marekani ili itengenezewe vichwa 11 vya treni, kampuni hiyo ikatoa tenda kwa kampuni mshirika iliyopo Africa kusini, serikali ikalipa bilioni 70 za utangulizi.

mzigo umetengenezwa, umeletwa serikali inajifanya haiujui, inasema mzigo umeyelekezwa bandarini na wasiojulikana!!!!? Ila inataka kuununua kutoka kwa asiyejulikana!!!!! Na kila mtu anaogopa au kutishwa asihoji!!!!????

Eti ndio hivyo mlivyosema??
 
Kila awamu na Escrow yake Mkuu. Na kamati imeundwa na si ajabu wamepewa bajeti kubwa.

Swali la mwaka hili. Na hazina itaiandika hiyo cheki kwa nani au mtalipa cash 71 billion? Kweli Escrow hazitakaa ziishe Tz
 
Hiyo paragraph ya mwisho ndio kamaliza hitimisho lote la hili saga na muda si mrefu ataitwa mchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…