sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,131
- 4,249
Woga ndio shida,Raisi alipouliza huo mzigo ni wa nani,TPA hakuchelewa kumwambia raisi kuwa ni vichwa vya TRL.
Lakini alipoulizwa CEO wa TRL akakanusha kuwa havijui.
Upofu wa CEO kutokuwa na memory za shirika lake,Wizara husika,BOT, nao hawajui walisani nini,hii ndio picha halisi ya utendaji wa serikali na mashirika yake kwa ujumla,sijui wangekuwa wameishahamia Dodoma wangetafuta kisingizio kipi labda mafaili yamesahaulika.
Tatizo ni competency ya kazi ni ndogo mno.si wingi wa karatasi ni uhaba wa ujuzi wa kazi ni shida kubwa.