Kama umeomba chuo, hakikisha unawasiliana nao kwa karibu ili kujua hatma ya maombi yakoHicho kipengele namba e cjakielewa kabisa
mkuu mimi mwenyewe nipo kuwasubir udsm watoe hapa lakini nahisi sua wanaweza kuconfirm bila hata mm kutaka maana awaelewek jinsi ya kuconfirmKuna watu tumefanyiwa confirmation bila kupenda na hawa tcu ukiwa fuata wanakataa vyuo vyenyew ambavyo vimefanya hvyo ukivifuata vinatia ngumu kwa mfano hawa udom walichonifanyia wanakijua wao wenyew
mkuu mimi mwenyewe nipo kuwasubir udsm watoe hapa lakini nahisi sua wanaweza kuconfirm bila hata mm kutaka maana awaelewek jinsi ya kuconfirm
mkuu mimi mwenyewe nipo kuwasubir udsm watoe hapa lakini nahisi sua wanaweza kuconfirm bila hata mm kutaka maana awaelewek jinsi ya kuconfirm
Mkuu me mwenyewe nili confirm mocu kwa kupenda mwenyewe ila udom wakanipigia simu nikawambia siendi but naingia kwenye account yangu ya pale udom nakuta nimefanyiwa confirmation yani mpka sielewi duuhConfirmation lazima iwe na ushahidi! Confirm kwa SMS au e-mail. Confirm chuo unachoenda tu. Usipoconfirm vile vingine maana yake ni kuwa umeconfirm kuvitosa!
Chuo kama MoCU wako vizuri sana! Walikuwa wa kwanza kutoa majina na wakaweka mfumo wa kuconfirm online kila MTU kwenye profile account yake! Vyuo vingine vinang'ang'ania watu kwa kutokujiamini. Naona hebu vyuo vinavyolazimisha watu tuvianike humu!