Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii kumkumbatia my baby,my sweetheart,my honey,my lotion Madame B infront of CC members nikimwambia 'i miss ur smile Madame B'
msingi wa urafiki una nguvu zaidi ya uhusiano wowote ule.watu wawili wanaposhare mawazo na ufahamu wa kila mmoja,urafiki huzaliwa.urafiki ni muhimu kwetu.thanx to my frends Donn , noahism Baba V Chilli , stevoh wana CC kwa kuweza kunisaidia kufunguliwa toka kifungoni ambako nilikaa takribani masaa 20.shukrani za dhati ziende kwa my wife Madame B na mkuu Invisible
Chimbuvu, Karibu sana, kipindi kile kilikuwa kigumu.Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii kumkumbatia my baby,my sweetheart,my honey,my lotion Madame B infront of CC members nikimwambia 'i miss ur smile Madame B'
msingi wa urafiki una nguvu zaidi ya uhusiano wowote ule.watu wawili wanaposhare mawazo na ufahamu wa kila mmoja,urafiki huzaliwa.urafiki ni muhimu kwetu.thanx to my frends Donn , noahism Baba V Chilli , stevoh wana CC kwa kuweza kunisaidia kufunguliwa toka kifungoni ambako nilikaa takribani masaa 20.shukrani za dhati ziende kwa my wife Madame B na mkuu Invisible
basi siku iyo nikapewa funguo za jela, nikamkuta Chimbuvu kapoaaaa, chezea ban mutu ya bukavu, au nikuitie Mzungu