Friji linauzwa

Wanjiro

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
55
Reaction score
110
Habari!
Friji ndogo aina ya Hisense inauzwa, haina tatizo lolote, wala haijawahi kusumbua nipata dharula ndio maana naiuza. Ni ya mlango mmoja, ina sehemu ya kugandishia (freezer). Mpya dukani ni Sh. 380,000. Hii naiuza Sh. 170,000/= Maelezo zaidi Whatasapp 0684933777
 
Hivi ni kwann wauzaji wa vitu vingi himu jf wanatokea ubungo ?? kimara!! .Au vina dodoshwa na wanahamia Dodoma? mbagala, tandika, Kigamboni, Sinza mbona sioni wakiuza vitu kama hivo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…