Friji dogo aina ya WESTPOINT,linauzwa kwa bei ya 170000..
Picha hzo hapo chini
Pm au 0765050591
Mpya au Used?
tatizo hajibu hata simu anakata ukimpigia
150000 vp?
mmnh!.. au nimeona vibaya iyo bei
Still available
Una wiki 3 umeinunua, ina tatizo gani?
Chukua 150000 mkuu..