uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,818
- 38,331
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa kama hauna hela nyamaza
Mimi Na wandaNi wangu, haikuhusu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa kama hauna hela nyamaza
Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️Mh, uwezo wangu ndo huu baby, naomba kule twende Christmas, Leo tutafute pa Kawaida!
Eti baby, vaa lile gauni jekundu linakupendeza; umenielewa baby wangu?
Sawa baby usijali ntaagiza maji tu😂 tafuta hela siyo unalia lia akitokea mwingine si utaachwa wewe🏃♀️