FRIDGE NDOGO INAUZWA.

Mr coffee

Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
74
Reaction score
34
Habari zenu. wanajamvi,
.
.
.
.Kama kichwa tajwa kinavyojieleza hapo juu fridge ndogo used iliyotumika kwa mwaka mmoja inauzwa kwa bei poa, ufanyaji kaz wake ni bora kupita maelezo...
.
.
BEI : 100,000/=
.
.
.
NAPATIKANA MAHALI: TANGA MJINI.
MIKOANI NINAWEZA KUKUTUMIA.
.
.
.
MAWASILIANO : 0658-343878 /0778-807246
.
.
.
KARIBUNI
 

Attachments

  • 20190514_113526.jpeg
    16.4 KB · Views: 32
Fanya kama una update kwa ku scroll chini. nadhani ni mtandao
 
hiyo ni kutokana na maji ikizimwa but una weza ukafanya renovation ya kuipaka rangi kwa chini it cost less.
Sijui macho yangu nimabovu naiona mlango kama umelika kwakutu chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…