Mkuu ulichosema ni kweli lkn changamoto ilikuwa ktk kuapload picha ndio ktk kujaribu ndio nikajikuta nimefungua Uzi mwingine..basi nikaona si vby nikipeleka picha ktk Uzi wa awali.Mkuu
Sasa Umeanza Kuharibu Biashara Yako
Thread Nyingi Za Nini Wakati Tayari Kuna Thread Nzuri Sana Picture Umeweka Nadhani Utaanza Kupokea Simu Za Biashara
Samahani Iwapo Nimekukwaza Maana
Mkuu
Sasa Umeanza Kuharibu Biashara Yako
Thread Nyingi Za Nini Wakati Tayari Kuna Thread Nzuri Sana Picture Umeweka Nadhani Utaanza Kupokea Simu Za Biashara
Samahani Iwapo Nimekukwaza Maana
Mkuu, Uzi wa awali haukuwa na picha na wadau wamenisakama sana. poleni kwa usumbufu uliojitokeza!Mkuu
Sasa Umeanza Kuharibu Biashara Yako
Thread Nyingi Za Nini Wakati Tayari Kuna Thread Nzuri Sana Picture Umeweka Nadhani Utaanza Kupokea Simu Za Biashara
Samahani Iwapo Nimekukwaza Maana