CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,148
Watu wa mikoani tukitaka unatuma, kwa mimi niliye mwanza vip?Nipo Morogoro, naiuza kwa sababu nakwenda masomoni,nauza fridge pamoja na king'amuzi cha star times(cha dish.)
Fridge naiuza 400,000 tu,na ina miezi minne tangu niinunue!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kulipa kiasi,utafika uione na kupajua kwangu,tunaandikishana then ukimalizia kinachobaki unachukua mzigo!!mkopo nikupe mwezi wa 8 tarehe 15
Unaweza kulipia usafirishaji wake?Watu wa mikoani tukitaka unatuma, kwa mimi niliye mwanza vip?
HapanaSo kama itachukuriwa mapema sawa but ukiyumba punguza kidogo ili to weke sawa kwenye transpot cost ili wwe upate na mim nipate.toa hiyo kilo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo interested, ntakuuzia 80000,fixed!!kingamuzi hicho cha dish bei gani?
ni cha aina ipi azam , dstv or zuku or star times???