Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,425
Wapo live na IsabellaVp wasafini huko
T I D leooo amekamia sn.Huyu Jamaa anatakiwa atulie kidogo tu,ni bonge la msaniiHadi dakika namtabilia Mnyama ndo atakuwa kaua kuliko wasanii wore waliopita kwenye Homa.
Kumfanyia interview ya live Mzee kigogo unatakiwa ukae kijanja mana anaweza kukuumbua mchana kweupe.Nasikia mzee kigogo anatoa majibu kama yupo kijiweni na wahuni wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
K
Kumfanyia interview ya live Mzee kigogo unatakiwa ukae kijanja mana anaweza kukuumbua mchana kweupe.
Kuna mda Jonijo naona alianza kuishiwa confidence.
So far show iko vizuri sana .
Bado sijaelewa chochote hapa.
Mara mnyama, mara wasafini, mara sijui nini?
Haya yatakuwa mambo ya Dar tu. Sisi wa mikoani tuko zetu busy na mvua za masika.