vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 869
Cv hapa public ni ngumu mkuuWeka CV yako mwenye connection wakuconect
I mean personal information na education background I think itakua poaCv hapa public ni ngumu mkuu
Nimeedit kidogo...NASHUKURU SANAWeka CV yako mwenye connection wakuconect
Apo sawa.Nimeedit kidogo...NASHUKURU SANA
Sawa nashukuru sana[emoji1787][emoji1787]kada ya account?
Aiseeh we tafuta shughuli nyingine ya kufanya
Hujui hata ulichosomea[emoji108]
Nimeshangaa pia yani kile chote graduate alichoandikaš¤£š¤£kada ya account?
Aiseeh we tafuta shughuli nyingine ya kufanya
Hujui hata ulichosomeaš
Uko wapi kama uko Kahama kuna intern naweza kuongea na jamaa wakakuchukua .Habari,
Husika kichwa cha habari hapo juu.
Mm ni Fresh Graduate natafuta nafasi ya intership kada ya Account ili niweze kugain experience. Nilifanya field TRA na NSSF na pia nina cheti cha VETA cha information computer technology (ICT). Nina ujuzi mkubwa wa computer pia.
Nawasilisha
Intern wa kada ya HR hawahitaji ?Uko wapi kama uko Kahama kuna intern naweza kuongea na jamaa wakakuchukua .
Hapana Chief.Intern wa kada ya HR hawahitaji ?