Fremasons Dar wanapatikana wapi?

Hall lao lipo tu nyuma ya Hyatt Regency hotel zamani Kilimanjaro hotel..ila hutoona anayeingia wala kutoka hata ukikaa pale 24hrs?1Week?365days
 
Ingia humo tuone kama utatoka mzima
 
Attachments

  • 1448570817352.jpg
    18.5 KB · Views: 626
Story za mitaani tu hizo couse hata mimi walishanizushia sana town na mitaani uzushi tu huo.

swissme
 
Hall lao lipo tu nyuma ya Hyatt Regency hotel zamani Kilimanjaro hotel..ila hutoona anayeingia wala kutoka hata ukikaa pale 24hrs?1Week?365days

Ingawaje shughuri zinaendelea ndani na nje ya jengo lile 24hrs,
 
freemason hawa exist kwenye hii dunia ni stori tu za kuwatisha watu.
 
Ntakupm namba ya voda utume entrance fee kwa m pesa, na amount ntakwambia
 
Hall lao lipo tu nyuma ya Hyatt Regency hotel zamani Kilimanjaro hotel..ila hutoona anayeingia wala kutoka hata ukikaa pale 24hrs?1Week?365days

Wanaoingia na kutoka wanaonekana mkuu wala usimtishe huyo dogo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…