Frem za milango na bei zake

Ng'azagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2008
Posts
1,288
Reaction score
222
naomba nielimishwe kuhusu frem za milango na bei zake.

kama kuna wahusika wenye frem nzuri na kwa bei poa basi tufanye mawasiliano hapa
 
naomba nielimishwe kuhusu frem za milango na bei zake.

kama kuna wahusika wenye frem nzuri na kwa bei poa basi tufanye mawasiliano hapa

Mkuu Mimi ninazo nipo huku Naliendele Njoo PM tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…