poa mkuu,nishachukua namba.Mwenge stand
Mwenge biashara imekuwa ngumu sana baada ya kuhamisha stendi makumbusho.
Kwa anayeta frem za biashara mwenge zipo za kumwaga,ukitaka frem piga no hii 0764023130
Makumbusho zipo,bei mwenge ni sh 700000 lkn maelewa yapo ni kubwa
Kwa anayeta frem za biashara mwenge zipo za kumwaga,ukitaka frem piga no hii 0764023130
Wakati mwenge ipo hot kipindi kile bado stand haijahamishwa mlikuwa mnajiona miungu watu, cwezi kuwasahau 2011 mlinizungisha kupata fremu hadi nka "give up" stendi imehamia makumbusho na mwenge pamebaki pa kigoroko ndo mnakuja hadi huku.
Ilikuwa ishu sana kupata fremu Mwenge...
Nakumbuka mwaka 2009 nilipata fremu, makubaliano yalikuwa kulipia kesho yake...kesho imefika jamaa kabadilika ghafla kapanda bei...
Mkuu hiyo miaka 2009 palikuwa na jamaa mmoja ndo alikuwa km "controller" jina lilianzia na "A" jamaa alinizungusha kupata fremu pale mwishowe nkakata tamaa hadi nkala "capital". Ndo maana nowdays kila nkipita from tangimbovu -kkoo nakuta sehemu ipo tupu watu hamna huwa naishia kusikitika tu.