Frem ya biashara inahitajika Arusha maeneo ya Mjini stend ndogo na maeneo ya jirani na stend ndogo kiwe kikubwa kodi isizidi 150,000/=kisiwe na matatizo na halmashauri
Pia inahitajika frem ya biasahara maeneo ya sakina kodi 150,000/= iwe barabaran kabisa itapendeza
0765171385
Sent using
Jamii Forums mobile app