Freezer kubwa inauzwa bei ndogo

Freezer kubwa inauzwa bei ndogo

newbegin

Senior Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
109
Reaction score
16
members mpo? kuna freezer inauzwa! Hii freezer ni yangu ila nimeamua kuiuza kutokana na uhitaji wa hela za jambo la muhimu na la haraka zaidi! niliinunua kwa ajili ya matumiz ya nyumbani ila nilikuwa sijaanza kuitumia! ni mpya kwa maana haijatumika hapa Tanzanis ila ni used kwa maana ya kwamba imetoka Uingereza ikiwa used!!ni nzuri sana na ina sehemu /shelves nyingi

Bei yake ni Laki sita (600,000) tu!.maongezi yapo ila kidogo sana!

wahi offer hii

MAWASILIANO

nitext au nipigie kupitia namba hii 0689154853

napatikana Temeke Dar es salaam

PICHA

muonekano wa nje

1469638898269.jpg

1469638938332.jpg
1469638950610.jpg
1469638996000.jpg
1469639008530.jpg
1469639018790.jpg
1469639028100.jpg
1469639037970.jpg
 
Mh ila we jamaa bana una utani na hela, sio siri.
 
members mpo? kuna freezer inauzwa! Hii freezer ni yangu ila nimeamua kuiuza kutokana na uhitaji wa hela za jambo la muhimu na la haraka zaidi! niliinunua kwa ajili ya matumiz ya nyumbani ila nilikuwa sijaanza kuitumia! ni mpya kwa maana haijatumika hapa Tanzanis ila ni used kwa maana ya kwamba imetoka Uingereza ikiwa used!!ni nzuri sana na ina sehemu /shelves nyingi

Bei yake ni Laki sita (600,000) tu!.maongezi yapo ila kidogo sana!

wahi offer hii

MAWASILIANO

nitext au nipigie kupitia namba hii 0689154853

napatikana Temeke Dar es salaam

PICHA

muonekano wa nje

View attachment 372032
View attachment 372035View attachment 372036View attachment 372038View attachment 372039View attachment 372040View attachment 372041View attachment 372042
Hilo linakula umeme balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom