Freezer / Fridge inauzwa bei nafuu.

Freezer / Fridge inauzwa bei nafuu.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,876
Reaction score
29,646
Habari wakuu


Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Hapo Juu

Freezer ipo katika hali nzuri kabisa


Imetumika miezi miwili tu, nzuri kwa Biashara na matumizi binafsi pia.

Ina warrant ya miaka miwili

Bei ya kuuzuia laki 6 na nusu

Karibu PM kwa anayehitaji na yupo serious.

Inapatikana Mwenge Dsm
 

Attachments

  • 1412105430609.jpg
    1412105430609.jpg
    47.3 KB · Views: 159
  • 1412105444501.jpg
    1412105444501.jpg
    41.1 KB · Views: 137
  • 1412105459596.jpg
    1412105459596.jpg
    42.3 KB · Views: 134

Similar Discussions

Back
Top Bottom