Freelancer accounts

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habari za humu jamani,ninaomna kwa aliye na account katika moja ya site za freelancing katika maswala ya app development or other stuffs kama hizo anipm maana nimejaribu kucreate account katika website kama mbili hivi wananikatalia...So kama una account tunaweza share nikapiga kazi halafu tukagawana payments Poa njoo nipm..
 

Umefungua katika mitandao gani na umekwama wapi. Kuna uzi niliwahi kuuandika kitambo kuhusu FIVERR. Upitie ukikwama tena i'm open to guide you through the website.

https://www.jamiiforums.com/threads/ongeza-kipato-kwa-kufanya-kazi-mtandaoni-fiverr.1456955/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…