D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 4,420 Reaction score 3,340 Sep 28, 2025 #21 Magonjwa Mtambuka said: Toka wewe, ustuambie eti tutoke. Tuende wapi? Tuna mambo mengine ya kufanya🤣😂😎😁 Cc: Mimi Wewe Yule Click to expand... Hivi hii ya "..............is following you" Ina maana gani mkuu?!!!
Magonjwa Mtambuka said: Toka wewe, ustuambie eti tutoke. Tuende wapi? Tuna mambo mengine ya kufanya🤣😂😎😁 Cc: Mimi Wewe Yule Click to expand... Hivi hii ya "..............is following you" Ina maana gani mkuu?!!!
M Mwana parokia JF-Expert Member Joined Sep 27, 2023 Posts 1,086 Reaction score 1,836 Sep 28, 2025 #22 magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Majeshi YETU yote hapo Kwa ajili ya kulinda Watawala siyo Wananchi .Mfano Polisi wetu huangalia ataishije akifukuzwa kazi maana hata ELIMU zao mbovu
magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Majeshi YETU yote hapo Kwa ajili ya kulinda Watawala siyo Wananchi .Mfano Polisi wetu huangalia ataishije akifukuzwa kazi maana hata ELIMU zao mbovu
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,280 Reaction score 31,864 Sep 28, 2025 #23 Ngurukia said: Kwa mamilioni anayopewa mkuu wa majeshi, sahau hilo jeshi kusaidia chochote Click to expand... Uzuri huko jeshini sio lazima mkubwa afanye maamuzi. Rejea nafasi ya Idd Amini, rejea nafasi ya Ibrahim Traore, rejea nafasi ya Thomas Sankara. Unaweza ukawa mkubwa na ukakosa ushawishi.
Ngurukia said: Kwa mamilioni anayopewa mkuu wa majeshi, sahau hilo jeshi kusaidia chochote Click to expand... Uzuri huko jeshini sio lazima mkubwa afanye maamuzi. Rejea nafasi ya Idd Amini, rejea nafasi ya Ibrahim Traore, rejea nafasi ya Thomas Sankara. Unaweza ukawa mkubwa na ukakosa ushawishi.
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,107 Reaction score 3,028 Sep 28, 2025 Thread starter #24 Mpetde said: Bado siku 1 tu imebakia watu waingie barabarani Click to expand... Mungu atupe njia ,turudishe nchi yetu
Mpetde said: Bado siku 1 tu imebakia watu waingie barabarani Click to expand... Mungu atupe njia ,turudishe nchi yetu