Freedom in the World report 2016: Ghana, Botswana, SA zaongoza Afrika, Tanzania haimo

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
974
2,366
Ripoti inayoonyesha mwendendo wa uhuru wa nchi 125 kwa ujumla wake kwa mwaka
2016 imetolewa. Tanzania imepewa alama 60 ikiwekwa kwenye nchi zenye uhuru wa wastani. Wenyeji zetu Kenya wana alama 51 (wastani) huku Uganda wakipewa alama 36 (hakuna uhuru)

PR and CL stand for political rights and civil liberties, respectively; 1 represents the most free and 7 the least free rating. A larger aggregate score indicates a greater level of freedom.

12-jpg.465722

Fuatilia report yote hapo kwenye link chini

https://freedomhouse.org/sites/default/files/FH_FITW_Report_2016.pdf
 
Attachments

  • 11.jpg
    11.jpg
    40.7 KB · Views: 65
  • 12.jpg
    12.jpg
    42.2 KB · Views: 158
Hata hapo ilipo imependelewa, wanabembeleza dili za gesi na mafuta, wakinyimwa mikataba ya gesi na mafuta watatuweka kwenye nafasi kumi za mwisho ambako ndiyo haki yetu
 
Hiyo 60 tumepewa ya nini? au bado wanamsikilizia kidogo maana ana mwaka mmoja tu mpaka sasa, wanadhani atabadilika
 
hiyo ripoti ni feki kabisa. Tanzania inatakiwa iwe ya kwanza kwa ku practice uhuru kwa watu wake
 
Tanzania haiwezi kuwemo kutokana na huyu aliyeamua kuidharau katiba ya nchi na pia kuingilia uhuru wa mahakama, wananchi na vyombo vya habari. Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasi.

Ripoti inayoonyesha mwendendo wa uhuru wa nchi 125 kwa ujumla wake kwa mwaka
2016 imetolewa. Tanzania imepewa alama 60 ikiwekwa kwenye nchi zenye uhuru wa wastani. Wenyeji zetu Kenya wana alama 51 (wastani) huku Uganda wakipewa alama 36 (hakuna uhuru)

PR and CL stand for political rights and civil liberties, respectively; 1 represents the most free and 7 the least free rating. A larger aggregate score indicates a greater level of freedom.

12-jpg.465722

Fuatilia report yote hapo kwenye link chini

https://freedomhouse.org/sites/default/files/FH_FITW_Report_2016.pdf
 
Nchi hii kila kitu ni uchochezi, watu wanashinda whattsup kuangalia nani anamsema mtukufu
 
Ripoti inayoonyesha mwendendo wa uhuru wa nchi 125 kwa ujumla wake kwa mwaka
2016 imetolewa. Tanzania imepewa alama 60 ikiwekwa kwenye nchi zenye uhuru wa wastani. Wenyeji zetu Kenya wana alama 51 (wastani) huku Uganda wakipewa alama 36 (hakuna uhuru)

PR and CL stand for political rights and civil liberties, respectively; 1 represents the most free and 7 the least free rating. A larger aggregate score indicates a greater level of freedom.

12-jpg.465722

Fuatilia report yote hapo kwenye link chini

https://freedomhouse.org/sites/default/files/FH_FITW_Report_2016.pdf
Napinga vibaya sana ! Tanzania iko sawa na Uganda na haiko juu ya Kenya , huu ni upotoshaji wa wazi kabisa .
 
Huu utakuwa ni utafiti uliofanywa 2015/2016. Kwa sasa hata uo uhuru wa wastan haupo.
 
Botswana nimeishi miaka 13 tangu awamu ya Festus Mogae hadi huyu mtoto wa raisi wa kwanza Mjeshi Ian Khama Seretse Khama. Uhuru upo wapi? Political system yao raisi hachaguliwi. Kwa mfano raisi wa sasa Ian Khama Seretse Khama ni mwenyekiti wa chama tawala (BDP) Botswana Democratic Party. Katika uchaguzi mkuu chama chenye wabunge wengi automatically Mwenyekiti wake ndiyo raisi. Hakuna ule Uhuru wa kusema unavyotaka kama hapa Bongo utapotea dakika sifuri tu. Labda kwa ustaarabu wa kupata huduma muhimu wao hawasukumani kugombea usafiri wa aina yo yote na kila sehemu watu wastaarabu.
 
"Tanzania, whose presidents have consistently honored the two-term limit, held its most competitive elections since its transition to multiparty rule in the early 1990s, with ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) candidate John Magufuli winning 58 percent of the vote. However, it was unclear whether Magufuli would reform laws passed earlier in the year that severely restricted freedom of expression."
 
Akili za wapinzani hua ni changamoto kubwa sana! Wanadhani wakipaka matope nchi! Wao haitawahusu!

Wakisema Tanzania kuna hiki! We are all included!
 
hiyo ripoti ni feki kabisa. Tanzania inatakiwa iwe ya kwanza kwa ku practice uhuru kwa watu wake
Mwaka 2015_ nchi zilizokuwa na Amani ya kweli na kamili zilikuwa ni Ghana, Botswana, Namibia na Zambia(ktk Afrika). Leo unataka iwe ya kwanza? Really? You must be joking..... Hizo alama Tanzania ilizopata bado ni nyingi sana. Wakati wa utafiti, watu walioulizwa au kupitiwa watakuwa wamedanganya, na usikute kuna watu walitayarishwa ili kufunika kikapu.
 
Back
Top Bottom