hiyo wifi radar ni ya ku detect wireless networks that are available sio kwamba ndo itakupa access kwa secured networks
hivyo utaweza ku access unsecured wifi networks tu.
ku access secured networks zenye aina za key kama WEP,WPA na WPA 2 zinahitaji mautundu mengi
kwa WEP keys ni rahisi kuzi crack ila mziki wa WPA na WPA2 ni noma.
WEP keys nimefanikiwa kuzi crack mara kadhaa ila wpa Nimeshindwa
hints: nilitumia Backtrack r5, wifislax,
kwa mengine ni PM.