mgeni si umeona voda hawajui kinachoendelea? Wameachia twitter nayo so tunasubiri moding nyengine
kama ipi kaka? Nimbuzz s60 3rd inahtaji server yenye 5 letter kaka, na hyo hapa ha2na kbsaa.. Nwys bado nakomaa nayo, vp ucweb symbian ntaipata wapi?
nigee zote mbili kama vp, nijaribu kuzimodd...