Free Internet.

Daxxizo

Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
32
Reaction score
21
Nahitaji Kujua Kwa Ambae Anaelewa Vizuri Hii Kitu, Nimewahi Kusikia Kua Unaweza Kuongea Na Mtandao Wa Simu Wowote Unaotaka Na Wakakupa Server Maalumu Ya Kwako Ambapo Utakua Unatumia Unlimited Internet, Ila Kwenye Malipo Mnakubaliana May Be Ni Mwezi Au Kwa Kila Week Unatoa Kiasi Kadhaa.

Kwa Anaejua Tafadhali, Naomba Ufafanuzi....
 
MODS futa uzi huu...hauna ujumbe wala taarifa wala mafunzo wala amaulizo wala burudani! Ni unajaza server yetu tu
 
kifaa unachotaka kutumia ni simu au kwa kompyuta ambayo ipo nyumbani? ila kama ni simu hii kitu sijawahi kuona,
 
Mi navofaamu ni kitu kinachofanyika sasa voda wanayo inaitwa vodacom business something,... Ni 100000 mkuu,smile wanayo unlimited ni 280000
 
Hizi unlimited za hizi kampuni sio unlimited kweli, ni uongo mtupu.
Nililipia mitandao mingo ilivyofika 50GB speed ikashuka hadi 100KBPs, kampuni nyingi wanafanya huo upuuzi, unasikia unlimited hata ukiuliza kabla hujalipa watakwambia ni ulimited kweli haina cap yoyote, tena wanasisitiza kua hata udownload vipi hawatalimit speed, kumbe wanafanya assumption kua 50GB hutofika, wapuuzi kabisa, hawajui watu tunashusha 1TB kila mwezi. Tunaishia kuchakachua tu kupata free internet.
 

Voda wanatoa 100GB mkuu
 

Unlimited internet sio free internet.
 
Voda wanatoa 100GB mkuu
Bado haitoshi, mi nilienda nataka unlimited internet bila cap maana 100GB unaweza ona kubwa ila nikikaa usiku nastream netflix hiyo inaisha fasta sana, na tatizo ikifika kiasi flani speed wanakata. Nilijaribu Voda, Smile, Tigo, Smart wote walewale tu. Anyway sipo bongo tena so it doesn't matter anymore. Huku nalipa kama Tshs.60K kwa mwezi napata unlimited 1GBPs, bado Tanzania tuna njia ndefu sana. Ninaowajua wote wanachakachua, moja tu ndo analipia TTCL
 

Aseeh nimekuelewa mkuu,
 
Duh! Hii kali, cha bure kinalipiwa? Au ukute ushazoeaga free wifi ya somewhere ndo mana umechanganya habari humu.
 
Sasa kama mpaka unasema umeshawahi kusikia "unaweza kuongea na mtandao wa simu" kwa nini usiwapigie hao mitandao ukapata majibu?
 
Majibu nimepata, Hiyo njia kumbe unaongea na mtandao maalumu wa simu.. Wanakupa server yako maalumu na pia inakua kama mnaingia mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…