hey guys and sisters just wondering kama kuna trick nyingine za kupata free internet with no charge najua hakuna mtu asiyejua kuna hizi bahati post please if possible au send shinyc2009@gmail.com

hakika hata mimi kwa sasa naenjoy free, tafuta hum wanajamvi walishapost madude ya ukweli kinoma sio masihara, aminia sana wana jamvi bado tunasubiri mziki wa airtel
hey guys and sisters just wondering kama kuna trick nyingine za kupata free internet with no charge najua hakuna mtu asiyejua kuna hizi bahati post please if possible au send shinyc2009@gmail.com
dah!amakweli ng'ombe wa mackni anazaa...me airtel wamenionea huruma kuchakachua sijui na hela ya kununua bundle au laini zilizochakachuliwa sina...hvyo wamenipa free internet maisha yote,yan hapa nadownload tu mwanzo mwisho