Free Internet on my Mobile

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,966
Reaction score
102,105
Guys.
Wote tunafahamu ugumu wa maisha, that's why we're always asking for free or cheap.
anaefahamu how I can browse free katika mobile yangu.
natumia Huawei Ideos X Gaga.
 
weka line ya airtel subiri saa sita usiku...
 
hakuna 24hrs. brother?
 
Guys.
Wote tunafahamu ugumu wa maisha, that's why we're always asking for free or cheap.
anaefahamu how I can browse free katika mobile yangu.
natumia Huawei Ideos X Gaga.

Unatumia mtandao gani? Jaribu kupita thread za proxy na opera handrer utakuta maelezo kaka, tena utaenjoy tani yako. Mie kila leo nabadili moja baada ya nyingine. Shukrani nyingi kwa chief-mkwawa, e2themiza, mtotosix na wengine waliobaki kwani wamekuwa msaada mkubwa sana nina miezi miwili sasa sijui internet buddle lakini kabla ya hapo nilikuwa natumia kiasi kisichopungua tshs. 15,000 kwa wiki. Soma sana hili jukwaa lina kila aina ya wataalamu.
 
duh! Then mnaweza kuni help on my symbian 60! N 73
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…