Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
Kwa wale wasiopenda vyakulipia baasi infinityfree.net ni host bora ya bure ukiplus na subdomain kama hii tangatalk.epizy.com na nyinginezo nyingi
Ndo hivyooo mzeeeHizi hosts za bure kuna siku unaweza kuamka na kukuta haumiliki hata webpage moja ya blog/website ambayo ulikuwa ukiipambania kwa kuposti daily.