Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jun 5, 2011 #1 Wakuu, niliona software flani sehem, sadly i lost the link! software hiyo inawezesha kumpigia mtu bure (gharama kidogo ya data) kupitia simu yako ya mkononi. Mwenye ujuzi na hi kitu anifahamishe tafadhali! Thanks.
Wakuu, niliona software flani sehem, sadly i lost the link! software hiyo inawezesha kumpigia mtu bure (gharama kidogo ya data) kupitia simu yako ya mkononi. Mwenye ujuzi na hi kitu anifahamishe tafadhali! Thanks.
pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Jun 5, 2011 #2 ziko nyingi ila moja wapo ni skype.Unaweza pia kuweka kwenye simu kama una smartphone.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,694 Reaction score 2,588 Jun 5, 2011 #3 skype,fring, nimbuzz?
SHAROBALO JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 771 Reaction score 349 Jun 6, 2011 #4 Dont forget mig33 is the best!!!
Glucky Senior Member Joined Dec 16, 2009 Posts 123 Reaction score 41 Jun 6, 2011 #5 kwa watumiaji wa iphone inaitwa viber