Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?

Kwani hao wote wanaotangaza wamezaliwa Dar mbn ni mvivu wa kufikiri wewe na ukabila unakujaje hapo acha kuropoka pasipo kufikiria fred yupo vizuri tena ni wa mda mref huyo Gerald
 
Fredwaa ni mzuri sana kwenye fani hii kama anaona anafunikwa na yeye huwa anapita humu basi ajitutumue mpaka aonekane au ajiongeze
 
Acha matusi mbuzi wewe! Kuna ndugu zako tena wengine wanakuweka mjini na wanasikiliza clouds fm leo unawaita hawana maana! Kweli mfadhili mbuzi binadamu hana fadhila.

Clouds ni ujuha uliopitiliza hasa hivyo vipindi vya asubuhi. Hakuna la maana ni vicheko na utoto tu. Kuna nafasi za kutangaza mambo mazuri na ya maana kwa vijana. Lkn kama ndy aina ya habari vijana wanaitaka basi vijana wa TZ ni wajinga na ajabu. Siyo habari matani na vicheko na mizaha ina jenga nini kwa vijana.
 

Attachments

  • 1432394679741.jpg
    1432394679741.jpg
    9.6 KB · Views: 148
Ni kweli kabisa! Fredwaa enzi za radio free nlikuwa namkubali sana kwenye sindano tano za moto! Sauti yake ukijumlisha na mitambo makini ya radio free alikuwa anakiki sana! Hata mm nshawahi kujihoji mwenyewe kuhusu hili! Tangu aje clouds jamaa kachuja kiaina flani hivi! Jamaa inabidi abuni pindi lake mwenyewe am sure atakiki tu coz jamaa namkubali sana! Power breakfast haiendani na yeye kabisa!
 
Hatimaye nasikia Fredwaa kaondoka clouds
Ameelekea wapi huyo jamaa tena, ila RFA kama wangekuwa wana mtindo wa bonus kiukweli alisababisha VODACOM kuwa partner mzuri na RFA kwa miaka kadhaa na alivuta wasikilizaji wengi sana kwenye kipindi chache na alivyoondoka tu na jamaa wakasepa kudhamini
 
Huyu jamaa ni kipaji halisi anajiita Fredwaa alikuwa RFA anajurikana vyema na wafuatiliaji wa radio za Bongo, kipindi kama power breakfast ana uwezo wa kukiendesha peke yake, Nashangaa mpaka leo Boss Ruge hajabaini hili kosa wanalolifanya? huyu jamaa wambunie kipindi chake.
Ulikuwa Sawa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom